THE UNIVERSITY OF DODOMA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES UNIVERSITY OF DODOMA STUDENTS ORGANISATION (UDOSO)
P.O.BOX 259, DODOMA
Email: udosochas@gmail.com
Blogspot: udosochas.blogspot.com
Namshukuru Mungu kwa Uhai wenu na wangu pia. Pia namshukuru kwa kutupatia Likizo Njema!
Basi yafuatayo ni matangazo ya Msingi ambayo kila mmoja anombwa afanyie kazi
1. MALIPO YA PESA.
Pesa zote za UDOSO tunaomba ziwekwe Bank ya CRDB, Acount Name: UDOSO CHAS, Acount Number: 0152221581000
Pia kama umetumia akaunti ya federation, vyema jambo la msingi fika na risiti yako siku ya usajili.
NB: Pesa hazitapokelewa mkononi, na ijulikane kuwa kwa yeyote atakayekabidhi pesa zake katika mkono wa mtu yeyote na asikabidhi risiti ya bank ili kupata risiti ya UDOSO pengine siku moja akaja kudaiwa wakati wa kujaza clearance form, (kuhitimu).
Kuna uwezekano wa kukosa usajili kwa wote ambao hawataweza kulipa pesa hizo.
2. Time table yetu ya supplimentary exams imeshatoka, ni kweli imechelewa lakini Mungu asifiwe maana imetoka. Tutazame katika Website ya chuo.
3. Hii Blogsport yetu itakuwa ikitumika sasa kufikisha jumbe mbalimbali kwa wanafunzi, jitahidini kuitembelea mara kwa mara.
4. Zaidi tunawatakia kila la Kheri mnapojiandaa kurudi katika vituo vyetu vya Mafunzo; Chuoni na vituo vya nje.
Tuombeaneni ili kusudi changamoto nyingi za last time zipungue au zisiwepo kabisa!
Muwe na J’mosi/Sabato njema!
No comments:
Post a Comment