Social Icons

Friday, October 18, 2013

TAARIFA KWA WANAFUNZI WA MD4 & MD5 CHS UDOM KUHUSU MAKAZI NA TAREHE YA KURIPOTI KATIKA VITUO VYA MAFUNZO

1. Ndugu Zangu habari za Leo? Tumepata changamoto kubwa sana kufahamu mahala penu pa Mafunzo, Poleni na Ninawashukuru kwa uvumilivu Mkubwa sana ambao mmekuwa nao, Mungu awabariki sana. Tumekuwa tukifuatilia suala hilo kwa karibu sana na Mungu ahimidiwe maana limepata ufumbuzi; Mtaripoti baadhi yenu Iringa, baadhi yenu Tumbi, majina na Ma-group yenu angalieni katika mtandao wa Facebook mnao-share na Dr. Mwashamba, au angalieni katika Website ya Chuo.
2. Ila jueni kuwa mtaripoti tarehe 26 badala ya Tarehe 19 October. Mungu awe nanyi.

No comments:

Post a Comment