WAZIRI: MH, EDWARD SIMON
N/ WAZIRI: MH. SALOME J. MWALUKIMBA
TANGAZO KWA WANAFUNZI WOTE WA CHAS
CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOSO CHAS)
TAMKO LA WIZARA YA FEDHA NA USAFIRI
NDUGU WANAFUNZI WA CHAS KWANZA
KABISA NAOMBA NIWAPE POLE KWA MAANDALIZI YA MITIHANI YA KUFUNGA NA KUHAMA
MWAKA.
KUTOKANA NA KATIBA YA UDOSO IBARA YA 3 SEHEMU YA KWANZA
KIFUNGU KIDOGO CHA 22(1) INATOA MAMLAKA KWA SERIKALI ZA VITIVO KUKUSANYA MAPATO
YAKE YENYEWE NA NDO MFUMO UNAOTUMIWA NA SERIKALI ZA VITIVO VINGINE.
KWAHIYO WIZARA
INAPENDA KUWATAARIFU WANAFUNZI WOTE KUWA
MALIPO YA MICHANGO KWA AJILI YA UENDESHAJI WA SERIKALI YA WANAFUNZI(CHAS)
YALIPWE KUPITIA ACCOUNT YETU YA CHAS ILI KUEPUKA USUMBUFU UNAOJITOKEZA
KUHAMISHA FEDHA KUTOKA ACCOUNT YA FEDERAL KWENDA ACCOUNT YA CHAS.
A/C NO.0150221581000
A/C DESCRIPTION:UDOSO
CHAS
BRANCH:CRDB BANK
AMOUNT:TSH 5,000/=
MWISHO WIZARA INAPENDA KUWASISITIZA WANAFUNZI WANAOENDELEA
NA MASOMO(CONTINUING)KUWAKUMBUSHA NDUGU ZETU WATAKAOJIUNGA NA MWAKA WA
KWANZA(2014/2015)KULIPIA PESA HIYO KUPITIA A/C NO HIYO ILI KUEPUKANA NA
USUMBUFU UTAKAOJITOKEZA KIMSINGI WIZARA
HAITATAMBUA MALIPO YOYOTE YATAKAYOLIPWA KWENYE A/C ZINGINE ZAIDI YA LILYOTAJWA
HAPO JUU.
No comments:
Post a Comment