MATANGAZO YA LEO 24.10.2013 KWA WANAFUNZI WOTE WA TIBA.
Naamini wote ni wazima, MUNGU ahimidiwe sana!
1. BUMU HALIJAFIKA NA HILI LINATOKANA NA MATOKEO YETU KUCHELEWA KUTUMWA KWA BODI. HEBU TUENDELEE KUSUBIRI WIKI KESHO, TUVUMILIE.
2. TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUWA TUMEPATA MAGARI TENA BAADA YA MAZUNGUMZO YA KINA NA KUBEMBELEZA SANA, NAWAOMBENI WENZANGU TUONESHE TU NIDHAMU MAANA CHUO KIMEAMUA KUTUSAIDIA, TUFIKE KWA WAKATI, TUPANGE MSTARI TUDUMISHE USTAARABU wetu.
TUMEPELEKA PIA PENDEKEZO LA KUONGEZEWA MAGARI AU YALIYOPO KWENDA ZAID YA MARA MOJA BADO TUNASUBIRI FEEDBACK YAKE.
SUMATRA TUNAENDELEA KUFUATILIA ILI DALADALA ZIJE KWETU.
Wednesday, October 23, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment